mengi
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Limited Reginald Mengi akizungumza na waandishi wa Habari ofisini kwakwe,kukanusha taarifa mbalimbali zilizoandikwa katika magazeti dhidi yake kuwa ni za uongo ni zinalengo la kumchafua tu jana jijini Dar es Salaam.Picha na Venance Nestory